Romans 15:1-2

Usijipendeze Mwenyewe, Bali Wapendeze Wengine

1 aSisi tulio na nguvu, hatuna budi kuchukuliana na kushindwa kwa wale walio dhaifu wala si kujipendeza nafsi zetu wenyewe. 2 bKila mmoja wetu inampasa kumpendeza jirani yake kwa mambo mema, ili kumjenga katika imani.
Copyright information for SwhKC